TEHRAN (IQNA)-Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema maadui wa mfumo mtakatifu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena wamedhihirisha dhati ya shari yao kwa ugaidi na kumuua shahidi mmoja kati ya askari wa IRGC.
Habari ID: 3475283 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/23